Umoja wa Mataifa umemuonya Rais Salva Kiir wa Sudan
Kusini kuhusu uteuzi wa kisiasa anaofanya katika kipindi cha sasa
nchini humo.
Msemaji wa Umoja wa Mataifa, Farhan Haq amesema kuwa uteuzi wa
aina yoyote wa viongozi wa kisiasa huko Sudan Kusini unapaswa kuoana na
makubaliano ya amani yaliyofikiwa yapata miaka miwili iliyopita kati ya
pande hasimu nchini humo kwa shabaha ya kuhitimisha vita vya ndani.
Umoja wa Mataifa umemuonya Rais Salva Kiir wa Sudan
Kusini kuhusu uteuzi wa kisiasa anaofanya katika kipindi cha sasa
nchini humo.
Msemaji wa Umoja wa Mataifa, Farhan Haq amesema kuwa uteuzi wa
aina yoyote wa viongozi wa kisiasa huko Sudan Kusini unapaswa kuoana na
makubaliano ya amani yaliyofikiwa yapata miaka miwili iliyopita kati ya
pande hasimu nchini humo kwa shabaha ya kuhitimisha vita vya ndani. Chanzo:parstoday
No comments:
Post a Comment