| #Kiongozi Mkuu wa Waislam Shia Ithnasheriya Tanzania Sheikh Hemed Jalala na #Mwenyekiti
wa Taifa wa Waislam Shia Ithnasheriya Tanzania(mwisho kulia) Mh.
Brigedia General Simba (Mstafu) wakiwaongoza Maefu ya Waislam nchini
katika #Zafa
/ Matembezi ya Amani kwa kuadhimisha Mazazi ya Mtume Muhammad
(s.a.w.w), yaliyoanzia Kigogo-Mbuyuni hadi Viwanja vya People Kigogo
jana jijini Dar es salaam. |
|