UKWA WALAANI VIKALI KWA VITENDO VINAVYOFANYWA NA TUME KWA KUPOTOSHA UKWELI WA MATOKEO
INAVURUGA HAKI KATIKA UCHAGUZI
NA HUJUMA ZAIDI ZINAFANYWA ZAIDI KWENYE KITI CHA URAIS KUHAKIKISHA LOWASSA HASHINDI
PIA WANAPUNGUZA IDADI YA WABUNGE KWA KUTUMIA POLISI NA NJIA ZA SIRI.
POLISI WALIVAMIA NA KUHARIBU MIFUMO YA UHESABUJI KURA NA KUWEKA NDANI VIJANA,
VIJANA HAO WAMEPELEKWA KATIKA MAHABUSU
ZA SEGEREA NA KEKO. VIJANA 8 WAMEPELEKWA MAHAKAMANI, MAWILI RAIA WA NJE
WAMESINGIZIWA KUHUSIANA NA UKAWA.
LAKINI WAO WENYEWE WANAFANYAKAZI HIYO LAKINI WAO WAVUNJA MIFUMO YA MAWASILIANO YA CHADEMA.
chanzo Azam tv