| Katikatini sheikh Muhammed Abd Jiji akishirikiana na wanzake wa Mwisho kulia ni Sheikh Muhammed Yusuf |
Hawzat Imam Swadiq Chini ya Kiongozi Mkuu wa Waislam Dhehebu la Shia Ithnasheriya Tanzania Mawlana Sheikh Hemed Jalala imefanya leo lMashindano ya Usomaji wa Qur,an katika Msikiti wa Ghadir, Kigogo-Post Dar es salaam
| Sheikh Muhammed Abdi akisalimiana na Mzee Machitogo baada ya kumaliza Program ya Mashindano Ya Usomaji wa Qur,an |
Katika Mashindano hayo waliokuwa Majaji ni Naibu Mkuu wa Hawzat Imam Swadiq(a.s) Sheikh Muhammed Abdi, Sheikh Muhammed Yusuf na kadhalika
| Mmoja wa Washiriki wa Wanafunzi Wakike wa Hawzat Imam Swadiq (a.s) akishiriki katika mashindano hayo. |
| Baadhi ya Wanafunzi, Wanaharakati na Waumini wengine wakiwa makini kufuatilia Mashindano hayo ya Qur,an |
| Hawa ni baadhi ya washiriki wakiimba Qaswida baada ya Mashindano ya Qur,an |
| Majaji wakiwa makini kufuatilia waliofanikiwa kuingia katika mashindano ya Qur,an aliyeshika maiki ni Sheikh Muhammed Abdi |