Monday, September 5, 2016

Bikizee wa miaka 87 afungwa karibu mwaka mzima jela Ujerumani, kisa...

Bikizee mmoja wa miaka 87 amehukumiwa kifungo cha miezi minane jela na mahakama moja ya nchini Ujerumaini kwa kosa la kukanusha tukio lililojaa utata la kuuliwa kwa umati Mayahudi nchini humo, maarufu kwa jina la ngano ya Holocaust.

Shirika la habari la Ujerumaini limeripoti habari hiyo n akuongeza kuwa, Ursula Haverbeck, bikizee mwenye umri wa miaka 87 raia wa Ujerumani kwa mara nyingine amekanusha kutokea mauaji hayo na mahakama ya Detmold imeamua kumfunga jela miezi minane. 

Akielezea msimamo wake usiotetereka, Bikizee huyo amesema, Mayahudi walikuwa wakiishi maisha salama na ya kawaida katika kambi ya Wanazi ya Auschwitz, na kamwe hawakuwa wakiadhibiwa bali hiyo ilikuwa ni kambi ya wafanyakazi wa kawaida tu. 

Mahakama nyingine kadhaa zimewahi kutoa hukumu dhidi ya bikizee huyo kutokana na kukanusha mauaji hayo yanayodaiwa kufanywa na Wanazi wa Ujerumaini dhidi ya Mayahudi.

Bi Ursula Haverbeck akiwa katika mahakama ya Detmold, nchini Ujerumani. Uko wapi uhuru wa kusema?
Wazayuni wanatumia vibaya madai ya kutokea mauaji hayo ili kupokea fidia hadi leo hii, kama ambavyo wameyafanya kisingizio cha kuzikalia kwa mabavu ardhi za Palestina. 

Ujerumani nayo inajinadi duniani kuwa ni dola lililopiga hatua kubwa za kidemokrasia na kwamba eti watu nchini humo wana uhuru kamili wa kuelezea misimamo yao. 

Hata hivyo kufungwa jela bibi huyo mtu mzima kwa kosa la kutangaza msimamo wake kuhusu ngano ya Holocaust kunatilia shaka mno madai ya kuweko demokrasia na uhuru wa kusema katika nchi za Magharibi ikiwemo Ujerumani. 

Ngano ya Holocaust ni mstari mwekundu kwa nchi za Magharibi na hakuna mtu yeyote anayeruhusiwa kufanya uchunguzi kuhusiana na uhakika wa ngano hiyo kwani Holocaust ndiyo falsafa ya kuanzishwa utawala wa Kizayuni wa Israel na manufaa muhimu mno ya Uzayuni wa kimataifa wa madola ya Magharibi yamo ndani ya ngano hiyo.

No comments: