Friday, June 17, 2016

Sheikh Jalala "Viongozi wa Dini Vumilianeni"

Kiongozi Mkuu wa Waislam dhehebu la Shia Ithnasheriya Tanzania Sheikh Hemed Jalala amewataka Viongozi wa Dini kuwa wao kwa wao wanavumiliana, kwani kufanya hivyo ni kuienzi amani ya nchi yetu. 

Wito huo ameutoa Leo katika Program ya Futari, iliyoandaliwa na Chuo cha Kiislam (Hawat) Imam Swadiq (a.s), Masjid Ghadir, Kigogo Post Dar es salaam na kuhudhuriwa na Kamati ya Amani Mkoa wa Dar es salam, Viongozi wa Dini zote na Viongozi wa Serikali.
Sheikh Jalala amesema ikiwa Viongozi wa Dini wakivumiliana itapelekea Waumini wa Dini zote nao kuweza kuvumiliana ambapo kutendo cha kuvumiliana itapelekea kudumisha amani,na amani ndio mafundisho ya dini zote ikiwemo Uislam,













No comments: