|
Kiongozi Mkuu wa Kiroho wa Waislam, Dhehebu la Shia Ithnasheriya Tanzania Mawlana Sheikh Hemed Jalala katikati, kulia kwake ni baba mzazi wa Fatuma Mwiru na kushoto kwake ni Sheikh Muhammad Abdi wakikaribia nyumbani kwao Fatuma Mwiru. | |
Mawlana Sheikh Hemed Jalala akiongozana na Sheikh Muhammed Abdi,Muhammed Juma, Mwenyekiti Ammar na Alhaj Mputa, waliweza kufanya Ibada ya Swala, Futari na kumaliza kwa Dua nyumbani kwa mzee Mwiru
Fatuma
Mwiru ni mmoja wa Wanaharakati wakubwa na sasa ameshachukuwa Fomu ya
Kugombea Udiwani katika Kata ya Kisarawe, Wilaya ya Bagamoyo Mkoa wa
Pwani.
|
Sheikh Muhammad Abdi akiongoza swala ya Jamaa Nyumbani kwa Mwanaharakati Fatuma Mwiru. |
|
Mawlana Sheikh Hemed Jalala katikati, kushoto ni Ammar na Kulia ni Salum wakiwa pamoja wakiomba Dua katika swala ya Magharibi iliyoswaliwa kwa mzee Mwiru nyumbani kwao kwa Fatuma Mwiru |
|
Sheikh Muhammad Abdi akipakua chakula cha Futari katika sahani lake, katikati ni Sheikh Saidi na Kulia kwake ni Ammar |
|
Sheikh Muhammed Juma katibu, akijisevia chakula katika muda wa futari |
|
Mawlana Sheikh Hemed Jalala akichukua chakula cha futari. |
|
Katikakati ni Alhaji Mputa,kulia kwake ni Mzee Mwiru baba yake na Fatuma Mwiru. |
|
Sheikh Saidi akimpokea Mawlana Sheikh Hemed Jalala huko kisarawe Jana majira ya Jioni. |
No comments:
Post a Comment