Waumini wa Kike wakiwa makini katika kuandika nukta muhim za Wahubiri wanavyosema. |
Vijana mbalimbali wa dini ya kiislamu wakiwa katika ufatiliaji wa mada mbalimbali zinazowasilishwa na masheikh mbalimbali kutoka Hawzat Imam Swadiq (a.s) |
Kulia ni Samahat Sheikh Hemed Jalala, pembeni yake ni Sheikh Muhammad Abdi wakiwa katika maandalizi ya kuwahubiria waumini wa Dini ya Kiislam. |
No comments:
Post a Comment