Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Taifa Jaji Damian Lubuva
akifafanua baadhi ya mambo mapema leo jioni kabla ya mawakala wa vyama
kusaini fomu namba 27 iliyosainiwa na mawakala wa vyama vya siasa .
Baada
ya majumuisho ya kura kwa wagombea urais kabla ya kutangaza rais mteule
wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania ambapo Dk. John Pombe Magufuli
ametangazwa mshindi kwa kura kura 8.882.935 sawa na asilimia 58.46
huku
mpinzania wake kutoka Umoja wa Vyama vya Upinzani kupitia chama cha
Chadema Edwald Lowasa akipata kura 6.072.848 sawa na asilimia 39.97
No comments:
Post a Comment