"Ni aibu ni
aibu katika jamii nzima ya Waislam Tanzania bamoja na kuhitalifiana Madhehebu zao
zote ni aibu kukosekana Hospitali au Wodi maalumu ya kujifungulia Wakinamama
(Wanawake wa Kiislam), wodi ya Kiislam,kukawa na Madokta ambao ni Kina mama
maalumu kwa ajili ya kuwasaidia kina mama katika hali ya kujifungua, ni aibu.
Lakini leo
kwamba mama wa Kiislam mjamzito tena mke wa Sheikh anaenda katika Hospitali
anaesimamia suala lake ni Dokta Mwanaume ni jambo ambalo inauma sana ten asana
ya kwamba wewe / Sheikh unasimama kila
siku na unazungumzia maswala ya maadili,unazungumzia masuala mbalimbali yanayohusu Hukmu za Kisheria ili kesho na kesho kutwa
mke wako anaenda Hospitali na anazaliwa na Dokta Mwanaume".Sheikh Swalehe
Na.Sheikh Abdullatwif Swalehe
No comments:
Post a Comment