Sheikh Muhammed Abdi akizungumzia tukio la Eid al Mubahala Masjid Ghadir, Kigogo Post, Dar es salaam |
“Leo hii
anapokuja Mshia Ithnasheriya akasema mimi itikadi yangu kwamba Allah /Mungu
(swt) haonekani hapa duniani na kesho akhera, wewe Muwahabi / Answar Sunna ukaja
ukasema la,Allah /Mungu wangu (swt) mimi ni yule ambae anashuka kila siku ya
Ijumaa sawa #tusikufurishane nipe hoja yako inayodhibitisha kwamba Allah /
Mungu (swt) anashuka na farasi kila usiku wa Ijumaa, na mimi nikupe hoja yangu ambayo
na itikadi kwamba Allah /Mungu (swt) ni mmoja haonekani, hanasehemu, halafu
tuache wenye akili wapime ipi hoja yenye maana na ipi hoja ya kuchukua.
Hayo ndio
mafunzo yanayopatikana ndani ya tukio hili tukufu (Suratil Al-Imran aya 58-61),
Uislam sio kugombana uislam ni hoja”
Na.Sheikh Muhammed Abdi
#Eid al #Mubahala2016
No comments:
Post a Comment