| Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini wa Jumuiya ya Waislamu Shia Ithnasheriya Tanzania Sheikh Muhammad Abdu (kulia) akiwa makini kusikiliza baadhi ya nukta muhimu zinazojaliwa katika kikao hicho. |
| Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini wa Jumuiya ya Waislamu Shia Ithnasheriya Tanzania (T.I.C) Sheikhat Pili Muhammed akijumuika pamoja na baadhi ya wajumbe wenzake katika kikao hicho. |
| Sheikh Ghawth Nyambwa Mmoja wa Wajumbe wa Bodi ya Wadhamini wa Jumuiya ya Waislamu Shia Ithnasheriya Tanzania (T.I.C) Akichangia maoni katika kikao hicho. |
| Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Waislamu Shia Ithnasheriya Tanzania (T.I.C) Sheikh Ramadhani Mwelekwa (wapili kushoto) akishiriki katika kikao cha Bodi ya Wadhanimi. |
No comments:
Post a Comment