Watatu kulia ni Sheikh Hemed Jalala mwalim Mkuu wa Hawza Imam Jafar Swadiq akiwa katika sherehe za mazazi ya Mtume Muhsmmad (s.a.w.w), kigogo-post Dar es salaam.Mtume Muhammad(s.a.w.w) alizaliwa tarehe 17 mwezi wa Rabiiul awwal(Mfungo Sita), mwaka wa tembo sawa na mwaka 570 H.D |
Wakwanza kulia ni Naibu Imam wa Msikti wa Ghadir kigogo-post, Sheikh Ghauth Nyambwa, akiperuzi data kwa maandalizi ya kuzungumza mbele ya waumini juu ya sherehe za mazazi ya Mtume Muhammad (s.a.w.w) |
Waumini wa Kiume wa Dini ya Kiislam, Dhehebu la shia, wakiwa makini kusikiliza historia na sifa za mtume Muhammad (s.a.w.w) pindi alipozaliwa na kazi alizofanya kwa walimwengu wote. |
Wanafunzi wa Hauza Imam Jafar Swadiq, wakiimba Qaswida za Kumsifu Mbora wa Viumbe Mtume Muhammad (s.a.w.w). |
Waumini wa Kike wa Dini ya Kiislam, Dhehebu la shia, wakiwa makini kusikiliza historia na sifa za mtume Muhammad (s.a.w.w) pindi alipozaliwa na kazi alizofanya kwa walimwengu wote. |
No comments:
Post a Comment