Sheikh Abdullatwif bin Swalehe akiwa pamoja na mmoja wa Wazee wa Hawzat Imam Jafar Swadiq (a.s) katika kukumbukumbu ya kuzaliwa mjukuu wa Mtume (s.a.w.w) ambaye ni Muhammad bin Baqir (a.s) |
Wanafunzi wa Hawzat Imam Jafar Swadiq (a,s) wakiwa katika hali ya furaha ya kukumbuka mazazi ya Muhammad bin Ali Baqir (a.s), Kulia ni Ramadhani Amri na pembeni yake ni Daudi Shabani |
Hadhrat Muhammad bin Ali (a.s) alizaliwa siku ya
Ijumaa ya Tarehe 1 Rajab mwaka wa 57 Hijiria katika mji wa madina.
Baba yake ni Imam Ali bin Hussein na Mama yake ni Fatma bint Hassain (a.s), yeye
ndie mtu wa kwanza katika kizazi cha Imam Ali (a.s) alie zaliwa na wazazi
wawili watokanao na Imam Ali (a.s) na Fatma bint Muhammad. (a.s)
Muhammad bin Ali Baqir (a.s) ni Imam wa Tano baada ya Mtume Muhammad (s.a.w.w) kufariki Dunia, ambaye ni mojawapo katika ahlulbayt wa Mtume waliotakaswa na kila aina ya uchafu na Mwenyezimungu (swt).
No comments:
Post a Comment