Tuesday, September 27, 2016

“Tafauti zetu zisitutenganishi kwani sote ni Binadam” Sheikh Abdi

Sheikh Muhammed Abdi akizungumzia tukio la Eid al Mubahala Masjid Ghadir, Kigogo Post, Dar es salaam
“Tofauti zetu zimekuwa ni sababu ya kutugombanisha, tofutti zetu ndogo ndogo zimekuwa ni sababu kutufanya tusikae pamoja jambo ambalo sio mafunzo ya dini yetu ya Kiislam, mafunzo ya Uislam ni kukaa na yeyote maadam yeye ni mwanadam na wewe ni mwanadam kaa umsikilize, watu ni wa aina mbili ima ni ndugu yako katika dini au ni ndugu yako kwa kuwa nyote ni wanadam”
Na.Sheikh Muhammed Abi
#Eid al #Mubahala2016

No comments: